مرحبا بكم في اكاديمية سند بعلوم الشريعة ... بوابتكم للعلم الشرعي المسند
Welcome to Sanad Academy of Islamic Sciences
Karibuni katika (ACADEMY) ya (SANAD) kwa elimu ya sheria
Kwa mujibu wa mfumo wa chuo, Chuo cha Sanad kitatoa vyeti vya kukamilisha masomo kwa wanafunzi waliojiunga nacho katika programu zake mbalimbali za kielimu, kulingana na mfumo wa masomo na utaratibu wa mitihani maalumu kwa kila programu.