Loading...

Milango ya Elimu ya DarulMustafa

Chuo cha Kitaaluma cha Sanad kinawakilisha lango la kielimu la Kidigitali la Darul Mustafa ya Tarim kwa masomo ya Kiislamu, ambacho kinawawezesha wanafunzi kusoma mtaala wa DarulMustafa wa kielimu, kimalezi na kulingania kupitia programu za kielimu zenye hatua kwa hatua zinazoanza na ngazi ya kwanza na kumuwezesha mwanafunzi kupanda katika viwango vinavyofuata kulingana na mkondo wa kielimu uliokamilika