Loading...

Nuru ya Uislamu

Ni sehemu inayojumuisha mkusanyiko wa masomo ya kielimu ya mpangilio, kwa idadi ya Wanazuoni na Mashekhe wa Ahlu-Sunnah Waljamaa, Mwanafunzi anaweza kupitia hapa kupokea elimu kutoka kwao na kuungana na mapokezi yao (Sanad) yaliyoungana hadi kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake.

Video ya utangulizi wa Program

Jinsi ya Kusoma