Loading...

- Kuaminika na mapokezi sahihi

- Mtaala wa Darul-Mustafa ya huko Tarim kwa masomo ya Kiislamu

- Mfumo wa elimu wa kisasa na shirikishi

- Vyeti vya kumaliza

Usajili na masomo katika programu zote za chuo, kozi na shughuli zinazoambatana nazo, zote ni bure hakuna ada.

- Hakuna masharti ya kujiunga na chuo hicho au kunufaika na huduma zake mbalimbali zaidi ya mtu awe na hamu ya kutafuta elimu na kujifunza kutoka kwa Mashekhe.

- Kusoma katika chuo hicho kunapatikana kwa wanaume na wanawake wa rika zote.

- Programu ya elimu ya lazima: Usajili uko wazi na unaweza kujisajili wakati wowote.

- Programu Maalum: Usajili wa kundi hufunguliwa kwa muda wa mwezi mmoja na hufungwa mara tu idadi maalumu ya viti inapotimia. Masomo huanza baada ya kipindi cha usajili kuisha, iwe idadi imetimia au la. Usajili wa Kundi jipya hufunguliwa mara tu baada ya usajili wa kundi la mwanzo kufungwa.

Kozi: Baadhi yake ziko wazi na zinapatikana wakati wowote, na zingine zitatangazwa inapohitajika, kulingana na mpango uliowekwa.

- Programu ya elimu ya lazima: Ngazi (Hatua) moja tu

Program maalum: Ngazi (Hatua) nne